Jarida la Mapishi

Viungo vya chai

Viungo vya chai | Jarida la Mapishi
 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Viungo vya chai, ni mchanganyiko wa viungo vya aina mbali mbali kwa ajili ya matumizi ya kwenye chai ambavyo asili yake ni kutoka nchini India. Viungo hivi hutumika kuongeza ladha kwenye chai na kuifanya chai hiyo iwe tamu zaidi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza viungo hivi vya chai kwa ajili ya kuuza au kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mbegu za iliki, mbegu za shamari, mbegu za pilipili manga, mdalasini, karafuu, tangawizi, pamoja na majani ya minti, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri.

  Step2

  Ondoa mchanganyiko huo kutoka kwenye mashine ya kusaga, kisha uhifadhi kwenye chombo chenye mfuniko na kutumia kidogo kidogo kwenye chai.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Recipe Reviews

  • Malaika

   Woooow!!!! Asante Kwa bandiko!!!

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *


  The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.