Kaukau za vitunguu maji
Kaukau za vitunguu maji, ni viungo ambavyo hutengenezwa kwa kukaanga vitunguu maji vilivyo katwa katwa kwenye mafuta. Kaukau hizi hutumika
READ MOREKaukau za tangawizi
Kaukau za tangawizi, ni viungo ambavyo hutengezwa kwa kwa kukaanga vipande vya tangawizi kwenye mafuta. Kaukau hizi hutumika kwenye chakula
READ MORESosi ya ukwaju (Tamarind Paste)
Sosi ya ukwaju (Tamarind Paste), ni sosi yenye mchanganyiko wa ladha ya utamu na uchachu, ambayo hutengenezwa kuroweka ukwaju kwenye
READ MOREAchari ya minti na maembe
Achari ya minti na maembe, ni achari maarufu ambayo hutengenezwa kwa kutumia majani mabichi ya minti, maembe yaliyoiva, pamoja na
READ MOREAchari ya minti na nazi
Achari ya minti na nazi, ni achari yenye ladha nzuri ambayo hutengenezwa kwa kutumia majani mabichi ya minti, nazi iliyokunwa,
READ MOREAchari ya apple na tangawizi
Achari ya apple na tangawizi, ni achari yenye ladha nzuri, ambayo hutengenezwa kwa kutumia matunda ya apple ya kijani, nyanya
READ MOREAchari ya nyanya
Achari ya nyanya, ni achari tamu ambayo hutengenezwa kwa kutumia tomato sauce, vitunguu maji, choroko, dengu, ukwaju, pamoja na viungo
READ MOREAchari ya mtindi na lozi
Achari ya mtindi na lozi, ni achari tamu na rahisi kutengeneza, ambayo hutengenezwa kwa kutumia lozi mbichi, mtindi, limao, pamoja
READ MORE