Jarida la Mapishi

Smoothie ya blackberry na raspberry

Smoothie ya blackberry na raspberry | Jarida la Mapishi
 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Smoothie ya blackberry na raspberry, ni smoothie nzuri iliyo sheheni virutubisho vya Vitamini C, E na K, ambayo hutengenezwa kwa kutumia matunda halisi ya blackberry na raspberry. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya blackberry na raspberry.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi wa vanilla, matunda ya raspberry, matunda ya blackberry, ndizi, pamoja na asali, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *


  The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.