Jarida la Mapishi

Smoothie ya strawberry na karanga

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Smoothie ya strawberry na karanga, ni kinywaji kizuri na cha kuburudisha kilicho sheheni protini kwa wingi. Kinywaji hiki chafaa sana kunywa hasa baada kutoka kufanya mazoezi au kazi ngumu. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya strawberry na karanga.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi, matunda ya strawberry, ndizi, pamoja na siagi ya karanga, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *