Jarida la Mapishi

Smoothie ya nanasi na embe

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  4

Smoothie ya nanasi na embe, ni kinywaji cha kuburudisha na rahisi kutengeza. Kinywaji hiki hutengenezwa kwa kutumia nanasi, embe, mtindi wa vanilla, pamoja na maziwa. Waweza kunywa kinywaji hiki kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi au hata wakati wa mchana pamoja na kitafunio chochote kile ukipendacho. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya nanasi na embe.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, juisi ya nanasi, mtindi wa vanilla, maziwa, maembe, ndizi, pamoja na cream ya nazi, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *