Jarida la Mapishi

Smoothie ya embe

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Smoothie ya embe, ni kinywaji ambacho husaidia kuongeza nguvu mwilini papo hapo. Kila wakati unapo kunywa smoothie ya maembe, unapata virutubisho vya aina mbali mbali, ikiwemo Vitamini na Protini. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya embe.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maembe, maziwa, mtindi wa vanilla, pamoja na vanilla extract, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *