Jarida la Mapishi

Lemonade ya balungi

 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Lemonade ya balungi, ni kinywaji kizuri na rahisi kutengeneza, ambacho husaidia kuongeza Vitamini C kwa wingi mwilini. Lemonade hii yafaa kunywa hasa katika kipindi cha joto. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza lemonade hii ya balungi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, limao, balungi, apple, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.

  Step3

  Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *