Jarida la Mapishi

Smoothie ya apple na ndizi

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Smoothie ya apple na ndizi, ni kinywaji rahisi kutengeneza na chenye virutubisho vingi ambacho hutengenezwa kwa kutumia matunda ya apple, ndizi, pamoja na mtindi. Kinywaji hiki chafaa kunywa wakati wa asubuhi au wakati wa mchana pamoja na kutafunio chochote kile ukipendacho. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya apple na ndizi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, juisi ya chungwa, maziwa, apple, pamoja na ndizi, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *