-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji1
Smoothie ya ndizi, ni smoothie ambayo hutengeneza kwa kutumia ndizi mbivu ambazo huapatikana mahali popote katika kipindi chote cha mwaka. Maziwa yanayowekwa katika smoothie hii ya ndizi, huifanya smoothie iwe nzito, wakati vanilla husaidia kuongeza ladha. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya ndizi.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maziwa, yai, ndizi, sukari, pamoja na vanilla extract, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review