Jarida la Mapishi

Smoothie ya balungi

 • Maandalizi
  Dakika 15
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Smoothie ya balungi, ni kinywaji kizuri na cha kuburudisha chenye ladha ya utamu na uchachu, kilicho sheheni virutubisho vingi vya Vitamini A, Vitamini C, pamoja na Potasiamu. Smoothie hii hutengenezwa kwa kutumia matunda ya balungi yaliyoiva, pamoja na maziwa. Smoothie hii yafaa kunywa kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya balungi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi wa strawberry na ndizi, juisi ya balungi, matunda ya strawberry, ndizi, pamoja na asali, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *