Jarida la Mapishi

Juisi ya balungi na chungwa

Juisi ya balungi na chungwa | Jarida la Mapishi
 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Juisi ya balungi na chungwa, ni juisi ambayo yafaa kunywa kama kifungua kinywa, wakati ambao mwili unafanya katika mzunguko wake wa kuondoa sumu mwilini. Juisi hii pia inasaidia sana katika kupunguza lehemu (cholesteral) mwilini. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii ya balungi na chungwa.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, chungwa, balungi, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wa juisi umesagika vizuri.

  Step2

  Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii ni kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *


  The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.