Jarida la Mapishi

Supu

Supu ya nyanya na choroko

  • 0 / 5

Supu ya nyanya na choroko, ni supu tamu ambayo hunywewa zaidi katika kipindi cha baridi, hasa kutokana na choroko kuwa

READ MORE

Supu ya kuku

  • 0 / 5

Supu ya kuku, ni supu tamu yenye viungo ambayo hupikwa kwa kuchemsha nyama ya kuku kwenye maji pamoja na viungo.

READ MORE

Supu ya kabichi

  • 0 / 5

Supu ya kabichi, ni supu tamu na rahisi kupika inayopikwa kwa kutumia kabichi mbichi, mboga mchanganyiko pamoja na viungo. Supu

READ MORE

Supu ya uyoga

  • 0 / 5

Supu ya uyoga, ni supu tamu, yenye afya na rahisi sana kupika. Upishi wa supu ya uyoga unahitaji sana uvumilivu

READ MORE

Supu ya spinachi

  • 0 / 5

Supu ya spinachi kama jina lake lilivyo, ni supu inayopikwa kwa kutumia mboga ya spinachi kama kiungo kikuu. Supu hii

READ MORE

Supu ya njegere

  • 0 / 5

Supu ya njegere, ni supu tamu yenye rangi ya kijani na rahisi kupika, ambayo yafaa kunywa katika msimu wa baridi.

READ MORE

Supu ya viazi

  • 0 / 5

Supu ya viazi, ni supu tamu na rahisi kupika ambayo yafaa kunywa pamoja na familia nzima. Supu hii yaweza kupikwa

READ MORE

Supu ya buttermilk

  • 0 / 5

Supu ya buttermilk, supu yenye virutubisho vingi inayofaa kunywa katika kipindi cha kiangazi. Supu hii hupikwa kwa kutumia maziwa ya

READ MORE

Supu ya mtindi

  • 0 / 5

Supu ya mtindi, ni supu nzuri na rahisi kupika inayofaa kunywa katika misimu ya vipindi vyoye vya mwaka. Supu hii

READ MORE