Saladi ya vitunguu na limao
Saladi ya vitunguu na limao, ni saladi tamu na maarufu, ambayo hutengenezwa kwa kutumia vitunguu maji, limao, pamoja na viungo
READ MORESaladi ya matango na karanga
Saladi ya matango na karanga, ni saladi tamu ambayo hutengenezwa kwa kutumia matango, karanga zilizo kaangwa, pamoja na viungo vya
READ MORESaladi ya magimbi
Saladi ya magimbi, ni saladi tamu ambayo hutengenezwa kwa kwa kutumia magimbi yaliyo chemshwa, majani ya minti, limao, pamoja na
READ MORESaladi ya viazi vitamu
Saladi ya viazi vitamu, ni saladi tamu ambayo hutengenezwa kwa kutumia viazi vitamu vilivyo chemshwa, ukwaju, sukari, pamoja na viungo
READ MORESaladi ya viazi na njegere
Saladi ya viazi na njegere, ni saladi ya kipekee ambayo hutengezwa kwa kutumia, viazi mviringo, viazi vitamu, njegere, vitunguu maji,
READ MORESaladi ya maharage ya soya
Saladi ya maharage ya soya, ni saladi nzuri ambayo hutengenezwa kwa kutumia maharage ya soya yaliyo chemshwa, mboga ya mchunga,
READ MORESaladi ya viazi mviringo
Saladi ya viazi mviringo, ni saladi tamu na rahisi kutengeneza, ambayo hutengezwa kwa kutumia viazi mviringo, vitunguu vya kijani, mtindi
READ MORESaladi ya maharage
Saladi ya maharage, ni saladi nzuri ambayo hutengenezwa kwa kutumia maharage mekundu, mtindi, ukwaju, majani ya minti, pamoja na viungo
READ MORESaladi ya dengu
Saladi ya dengu, ni saladi iliyo sheheni virutubisho vya protini kwa wingi. Saladi hii ni rahisi sana kutengeneza na hutengezwa
READ MORESaladi ya kunde
Saladi ya kunde, ni saladi yenye afya isiyokuwa na gluteni. Saladi hii hutengenezwa kwa kutumia kunde, vitunguu vya kijani, mtindi,
READ MORE