Jarida la Mapishi

Saladi ya limao na vitunguu

Saladi ya limao na vitunguu | Jarida la Mapishi
 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  -
 • Walaji
  4

Saladi ya limao na vitunguu, ni saladi maarufu ambayo hutengenezwa kwa kutumia vitunguu maji vibichi vilivyo katwa katwa, limao iliyo kamuliwa, pamoja na viungo. Saladi hii yafaa kula pamoja na chapati, pilau, biryani, au pamoja na wali wa aina yoyote ile. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza saladi hii ya limao na vitunguu.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua kontena. Weka ndani ya hilo kontena, vitunguu maji pamoja na chumvi, kisha changanya vizuri. Funika vizuri kontena hilo na uliweke pembeneni kwa muda wa saa 2.

  Step2

  Baada ya saa 2, chukua chujio na uchuje maji yote ya vitunguu hivyo, kisha virudishe kwenye kontena.

  Step3

  Weka majani ya giligilani, limao, tangawizi, pamoja na vitunguu swaumu, halafu changanya vizuri, kisha funika vizuri kontena hilo na uliweke kwenye friji kwa muda wa saa 2 kabla ya kula.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *


  The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.