Jarida la Mapishi

Smoothie ya nanasi na strawberry

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Smoothie ya nanasi na strawberry, ni kinywaji kizuri cha kuburudisha cha matunda ambacho ni rahisi sana kutengeneza. Kinywaji hiki hutengenezwa kwa kutumia mahitaji 5 tu. Unaweza kunywa kinywaji hiki kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi, au baada ya mazoezi. Pia waweza kunywa kinywaji hiki pamoja na kitafunio chochote kile ukipendacho. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya nanasi na strawberry.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, matunda ya strawberry, maziwa, juisi ya nanasi, mtindi wa vanilla, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *