Jarida la Mapishi

Smoothie ya kahawa

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Smoothie ya kahawa, ni smoothie ambayo inatengezwa kwa kutumia chembechembe halisi za kahawa. Ikiwa wewe ni mpenzi wa kahawa, basi nakuhakikishia utakipenda kinywaji hiki kilicho sheheni ladha ya kahawa. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya kahawa.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maziwa, sukari, pamoja na chembechembe za kahawa, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *