Jarida la Mapishi

Juisi ya chungwa

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Juisi ya chungwa, ni juisi yenye mchanganyiko wa ladha ya utamu, uchachu na uchungu. Juisi hii pia imesheheni virutubisho vingi hasa Vitamini C. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii ya chungwa.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Weka machungwa, maji, sukari, na limao iliyo kamuliwa kwenye mashine ya kusaga (blender), kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wa juisi ya machungwa umesagika vizuri.

  Step2

  Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Recipe Reviews

  • Smazigo

   Limao linasaidia Nini kwenye juice

   • Mary Joachim

    Limao linasaidia ku-balance ladha sukari kwenye juice.

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *