Jarida la Mapishi

Lemonade ya raspberry

 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Lemonade ya raspberry, ni kinywaji chenye ladha tamu na rangi nzuri ya pinki. Kama hujawahi kunywa lemonade hii, basi nakuhakikishia, kinywaji hiki kitakuwa moja ya vinywaji vyako uvipendavyo. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza lemonade hii ya raspberry.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, malimao, matunda ya apple, matunda ya raspberry, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.

  Step3

  Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *