Jarida la Mapishi

Kahawa ya ice cream

Kahawa ya ice cream | Jarida la Mapishi
 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Kahawa ya ice cream, ni kinywaji ambacho hutengenezwa kwa kutumia kahawa pamoja na ice cream ya vanilla. Kahawa hii ni tofauti sana na vinywaji vingine vya kahawa ulivyo vizoea, kwa sababu kahawa hii hunywewa ikiwa ya baridi. Kinywaji hiki cha kahawa chafaa sana kunywa katika msimu wa kiangazi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza kahawa hii ya ice cream.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maziwa, sukari, kahawa, pamoja na vijiko 2 vya ice cream ya vanilla, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umetoa povu.

  Step2

  Chukua glasi 2 ndefu. Weka ndani ya kila glasi vijiko 1½ vya ice cream ya vanilla. Weka pia ndani ya kila glasi mchanganyiko wa kahawa ulio usaga, tayari kwa kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *


  The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.