-
Maandalizi-
-
Kupika-
-
Walaji2
Lemonade ya nanasi, ni kinywaji kizuri chenye utamu wa kipekee. Utamu huu unatokana na tunda la nanasi ambalo huifanya lemonade hii kuwa nzuri zaidi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengengeza lemonade hii ya nanasi.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, malimao, apple, nanasi, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.
Step3
Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Conclusion
Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.
Leave a Review