Jarida la Mapishi

Smoothie ya pichi na embe

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Smoothie ya pichi na embe, ni smoothie tamu, nzito na yenye afya. Smoothie hii yenye ladha nzuri, yafaa sana kunywa kama kifungua wakati wa asubuhi, au pamoja na kitafunio chochote kile ukipendacho. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya pichi na embe.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, embe, pichi, vanilla soy milk, pamoja na juisi ya chungwa, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *