Jarida la Mapishi

Juisi ya tikiti

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Juisi ya tikiti, ni kiburudisho kizuri kinachofaa kunywa hasa wakati wa kipindi cha joto, kwa sababu juisi hii haisaidii tu kukata kiu, bali pia inasaidia kupunguza joto mwilini. Juisi hii pia inasaidia kupunguza mafuta mwilini hasa kutokana na tunda hili kuwa na asidi ya amino kwa wingi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Weka tikiti, sukari, majani ya mint na limao iliyo kamuliwa kwenye mashine ya kusaga (blender), kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko wa juisi ya tikiti umesagika vizuri.

  Step2

  Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *