Jarida la Mapishi

Smoothie ya chocolate na strawberry

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Smoothie ya chocolate na strawberry, ni smoothie tamu ambayo itamaliza hamu yote uliyonayo ya kula chocolate. Smoothie hii inatengezwa kwa kutumia ndizi mbivu, matunda ya strawberry, pamoja na chocolate syrup. Fuata hatua zifuatazo, ili ukifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya chocolate na strawberry.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi, matunda ya strawberry, ndizi, pamoja na chocolate syrup, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *