Jarida la Mapishi

Juisi ya tikiti na chungwa

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Juisi ya tikiti na chungwa, ni juisi yenye virutubisho vya kukusaidia kuimarisha mifupa ngozi na kusaidia katika ukuaji wa nywele. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii ya tikiti na chungwa.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, chungwa, limao, tikiti, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wa juisi umesagika vizuri.

  Step2

  Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii ni kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *