Jarida la Mapishi

Juisi ya nanasi na chungwa

Juisi ya nanasi na chungwa | Jarida la Mapishi
 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Juisi ya nanasi na chungwa, ni juisi tamu ambayo yafaa kunywa kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi. Utamu wa juisi hii unatokana na ladha ya nanasi iliyo changanyika vyema na ladha ya ladha machungwa. Fuata hatua zifuatazo, ilii ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii ya nanasi na chungwa.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Weka nanasi, chungwa, pamoja na sukari kwenye mashine ya kusaga (blender), kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wa juisi ya machungwa umesagika vizuri.

  Step2

  Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *


  The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.