Jarida la Mapishi

Juisi ya strawberry na embe

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Juisi ya strawberry na embe, ni juisi nzuri inayofaa kunywa hasa wakati wa sherehe. Tengeneza juisi hii leo, na ufurahie kinywaji hiki wewe pamoja na marafiki zako. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii ya embe na strawberry.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, embe, strawberry, maji pamoja na sukari kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wa juisi umesagika vizuri.

  Step2

  Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii ni kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *