Jarida la Mapishi

Milkshake ya chocolate na karanga

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  4

Milkshake ya chocolate na karanga, ni milkshake nzuri yenye karanga na krimu. Ikiwa wewe ni mpenzi wa karanga, basi nakuhakikishia utaipenda milkshake hii. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza milkshake hii ya chocolate na karanga.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, siagi ya karanga, chocolate syrup, pamoja na maziwa, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vyema na kuwa laini.

  Step2

  Mimina milkshake kwenye jagi au chupa safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *