-
MaandaliziDakika 10
-
Kupika-
-
Walaji1
Juisi ya embe, ni juisi nzuri yenye Vitamini C kwa wingi, Madini ya chuma, Potasiamu na vitutubisho vingine vingi. Embe husaidia kupambana na maambukizi, husaidia kuongeza damu na kuimarisha mifupa. Embe husaidia kuboresha mfumo wa macho na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii ya embe.
Ingredients
Directions
Step1
Weka vipande hivyo vya maembe, limao iliyo kamuliwa, sukari, pamoja na maji kwenye mashine ya kusaga (blender), kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wa juisi umesagika vyema.
Step2
Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.
Conclusion
Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii kidogo.
Recipe Reviews