Jarida la Mapishi

Smoothie ya nanasi

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Smoothie ya nanasi, ni smoothie tamu iliyo sheheni virutubisho vya Vitamini C, ambayo hutengezwa kwa kutumia nanasi lililoiva, maziwa, pamoja na ndizi. Smoothie hii yafaa kunywa kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi, au kama kinywaji cha kawaida wakati wowote pamoja na kitafunio chochote kile ukipendacho. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya nanasi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maziwa, nanasi, ndizi, pamoja na asali, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *