Jarida la Mapishi

Juisi ya pichi na zabibu

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Juisi ya pichi na zabibu, ni juisi nzuri yenye Potasiamu kwa wingi, ambayo itakusadia kukukinga na magonjwa ya kiharusi cha moyo na kupotea kwa misuli. Pia juisi hii ina Vitamini A kwa wingi, ambayo husaidia kuongeza idadi ya seli nyeupe mwilini. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii ya pichi na zabibu.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga pichi, zabibu, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wa juisi umesagika vizuri.

  Step2

  Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *