Jarida la Mapishi

Smoothie ya tikiti na strawberry

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Smoothie ya tikiti na strawberry, ni smoothie nzuri na ya kuburudisha ambayo inasaidia sana kupunguza joto mwilini hasa katika kipindi cha kiangazi. Smoothie hii inatengenezwa kwa kutumia matunda ya tikiti, strawberry pamoja na mtindi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeza smoothie hii ya tikiti na strawberry.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, tikiti, matunda ya strawberry, mtindi, cream, juisi ya chungwa, sukari, pamoja na vanilla extract, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *