Jarida la Mapishi

Smoothie ya chocolate na blueberry

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Smoothie ya chocolate na blueberry, ni smoothie yenye ladha halisi ya mchanganyiko wa blueberry na chocolate. Smoothie hii imesheheni virutubisho vingi vya protini na yafaa kunywa kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi au pia waweza pia kunywa smoothie hii wakati wowote pamoja na kitafunio chochote kile ukipendacho. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya chocolate na blueberry.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, matunda ya blueberry, maziwa, chocolate syrup, pamoja na cocoa powder, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *