Jarida la Mapishi

Achari ya maembe na tangawizi

Achari ya maembe na tangawizi | Jarida la Mapishi
  • Maandalizi
    -
  • Kupika
    -
  • Walaji
    1

Achari ya maembe na tangawizi, ni achari yenye ladha ya mchanganyiko wa utamu na viungo, ambayo hutengenezwa kwa kutumia maembe yaliyoiva, limao, tangawizi, pamoja na viungo vingine mbalimbali. Achari hii yafaa kutumia kwenye vitafunio vya aina mbali mbali, kama vile chapati, mkate au sandwich. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza achari hii ya maembe na tangawizi.

Ingredients

    Directions

    Step1

    Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maembe, majani ya giligilani, limao, chumvi, tangawizi, pamoja na pilipili manga, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

    Step2

    Weka achari hiyo kwenye chombo safi chenye mfuniko, kisha hifadhi kwenye friji.

    Unaweza Pia Kusoma Hizi

    Leave a Review

    Your email address will not be published. Required fields are marked *


    The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.