Jarida la Mapishi

Vyakula

Biriani ya njugu

  • 0 / 5

Biriani ya njugu, ni chakula kitamu ambacho chafaa kuliwa hasa wakati wa sherehe. Chakula hiki hupikwa kwa kutumia mchele, maziwa,

READ MORE

Pilau ya uyoga na pistachio

  • 0 / 5

Pilau ya uyoga na pistachio, ni pilau tamu na rahisi kupika, ambayo hupikwa kwa kutumia uyoga ulio kaushwa, mchele, njugu

READ MORE

Kuku wa giligilani na apple

  • 0 / 5

Kuku wa giligilani na apple, ni kitoweo chenye ladha nzuri ambacho hupikwa kwa kutumia kuku, majani ya giligilani yaliyo katwa,

READ MORE

Pilau ya vitunguu na brokoli

  • 0 / 5

Pilau ya vitunguu na brokoli, ni chakula kitamu ambacho hupikwa kwa kutumia mchele, mboga ya brokoli, vitunguu maji, pamoja na

READ MORE

Kuku wa binzari nyembamba na pilipili hoho

  • 0 / 5

Kuku wa binzari nyembamba na pilipili hoho, ni kitoweo kitamu kinachopikwa kwa kutumia nyama ya kuku, pilipili hoho, pamoja na

READ MORE

Pilau ya uwatu

  • 0 / 5

Pilau ya uwatu, ni chakula kitamu na rahisi kupika, ambacho hupikwa kwa kutumia mchele, viazi mviringo, majani mabichi ya uwatu,

READ MORE

Kuku wa uwatu

  • 0 / 5

Kuku wa uwatu, ni kitoweo kitamu ambacho hupikwa kwa kutumia nyama ya kuku, majani mabichi ya uwatu, vitunguu maji, nyanya,

READ MORE

Wali wa ukwaju

  • 0 / 5

Wali wa ukwaju, ni chakula ambacho hufaa sana kula katika sherehe za aina mbalimbali, hasa za kidini. Chakula hiki hupikwa

READ MORE