Jarida la Mapishi

Kaukau za tangawizi

 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  Dakika 10
 • Walaji
  1

Kaukau za tangawizi, ni viungo ambavyo hutengezwa kwa kwa kukaanga vipande vya tangawizi kwenye mafuta. Kaukau hizi hutumika kwenye chakula kama viungo vya kupendezesha au kuongeza ladha kwenye chakula. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kupika kaukau hizi za tangawizi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua kikaango kikubwa chenye mafuta ya kupikia na ukiweke kwenye jiko lenye moto wa wastani, kisha acha mafuta yapate moto. Weka nusu ya tangawizi ulizo zikata kwenye hicho kikaango, kisha kaanga huku ukikoroga mara kwa mara kwa muda wa dakika 3 mpaka 5, au hadi utakapo ona zimebadilika rangi na kuwa na rangi ya kahawia. Ondoa tangawizi hizo kwenye kikaango na uziweke pembeni kwenye kontena lenye paper towel. Rudia hatua hiii kwa nusu ya tangawizi zilizobaki.

  Step2

  Nyunyizia chumvi juu ya hizo tangawizi, halafu changanya vizuri, kisha acha zipoe.

  Step3

  Weka viungo hivyo kwenye chombo safi chenye mfuniko, kisha hifadhi kwenye friji.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *