Jarida la Mapishi

Supu ya mbaazi

 • Maandalizi
  Dakika 30
 • Kupika
  Dakika 40
 • Walaji
  4

Supu ya mbaazi, ni supu tamu na rahisi kupika ambayo yawafaa hasa wale ambao hawapendi kula supu zenye nyama. Supu hii hupikwa kwa muda mfupi wa ndani ya saa 1 tu. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kupika supu hii ya mbaazi.

Ingredients

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *