Jarida la Mapishi

Saladi ya nyanya

 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  Dakika 5
 • Walaji
  4

Saladi ya nyanya, ni saladi nzuri na yenye afya, inayotengezwa kwa kutumia nyanya zilizoiva vizuri, na kuchanganywa pamoja na vitunguu maji na limao. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza saladi hii ya nyanya.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua kontena kubwa. Weka mboga ya mchunga ndani ya hilo kontena halafu sambaza vizuri, kisha weka pembeni.

  Step2

  Chukua sufuria kubwa lenye mafuta ya kupikia na uliweke kwenye jiko lenye moto wa wastani, kisha acha mafuta yapate moto. Weka kwenye hilo sufuria, binzari nyembamba, mbegu za haradali, majani ya mvuje, pamoja na limao, kisha pika mchanganyiko huo huku ukikoroga mara kwa mara kwa muda wa dakika 1.

  Step3

  Weka nyanya, kisha pika mchanganyiko huo huku ukikoroga mara kwa mara kwa muda wa dakika 1 mpaka 2. Epua mchanganyiko huu na umimine kwenye kontena lenye mboga mchunga, kisha changanya vizuri, tayari kwa kula.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *