Jarida la Mapishi

Saladi ya nyanya na tango

 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  -
 • Walaji
  4

Saladi ya nyanya na tango, ni saladi maarufu, nyepesi, na ya kuburudisha. Saladi hii ambayo ni rahisi sana kutengeneza, imetengenezwa kwa kutumia matango yaliyokatwa vipande vipande na kuchanganywa pamoja na nyanya zilizoiva vizuri na vitunguu maji. Unaweza kula saladi hii pamoja na nyama choma, samaki wa kukaanga au mishikikaki. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza saladi hii ya nyanya na tango.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua kontena kubwa. Weka ndani ya hilo kontena, majani ya giligilani, mbegu za kisibiti, matango, nyanya, limao, tangawizi, Chaat Masala, pamoja na mboga ya spinachi, kisha changanya vizuri, tayari kwa kula.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *