-
MaandaliziDakika 15
-
Kupika-
-
Walaji4
Saladi ya kabichi, ni saladi tamu, inayovutia na yenye afya. Saladi hii imetengenezwa kwa kutumia kabichi mbichi, karoti, vitunguu vya kijani, vitunguu swaumu na tangawizi. Fuata hatua zifuatazo ili ujifunze jinsi ya kutengeneza saladi hii ya kabichi.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua bakuli kubwa. Weka ndani ya hilo bakuli, limao, asali, vitunguu swaumu, tangawizi pamoja na chumvi, kisha changanya vizuri.
Step2
Weka kabichi, karoti, vitunguu vya kijani pamoja na giligilani, kisha changanya vizuri halafu acha ikae kwa muda wa dakika 15, kabla ya kula.
Leave a Review