Jarida la Mapishi

Ice cream ya matunda damu

Ice cream ya matunda damu | Jarida la Mapishi
 • Maandalizi
  Dakika 15
 • Kupika
  -
 • Walaji
  4

Ice cream ya matunda damu, ni ice cream ambayo iliundwa ili iweze kutumika katika sherehe za msimu wa vuli. Ice cream hii hutengenezwa kwa kutumia matunda damu yaliyo sagwa pamoja na krimu na viungo. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza ice cream hii ya matunda damu.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, matunda damu, mtindi, powdered sugar, pamoja na limao, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina mchanganyiko huo wa ice cream kwenye mashine ya kutengenezea ice cream (Ice Cream Maker Cooler). Washa mashine hiyo kwa muda wa dakika 50 mpaka 60, au hadi utakapo ona ice cream imekuwa nzito na laini.

  Step3

  Ondoa ice cream hiyo kutoka kwenye mashine ya kutengeneza ice cream, kisha pakua kwenye bakuli safi, tayari kwa kula.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *


  The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.