Jarida la Mapishi

Achari ya karanga na vitunguu swaumu

 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka karanga kwenye hiyo mashine ya kusaga, kisha saga hadi utakapo ona karanga hizo zimesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Weka nazi, vitunguu swaumu, Tamarind Paste, chumvi, pamoja na ¼ kikombe cha maji, kisha endelea kusaga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wote umesagika vyema na kuwa laini. Ondoa mchanganyiko huo kutoka kwenye mashine ya kusaga na uweke kwenye kontena.

  Step3

  Chukua sufuria ndogo lenye mafuta ya kupikia na uliweke kwenye jiko lenye moto wa wastani, kisha acha mafuta yapate moto. Weka kwenye hilo sufuria, mbegu za hadadali pamoja na majani ya mvuje, kisha kaanga huku ukikoroga mara kwa mara kwa sekunde kadhaa.

  Step4

  Step5

  Epua mchanganyiko huo na umimine kwenye kontena lenye achari, kisha changanya vizuri tayari kwa kutumia kwenye chakula cha aina yoyote ile.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *