Jarida la Mapishi

Milkshake ya strawberry

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Milkshake ya strawberry ni kinywaji kizuri kinacho tengenezwa kwa kuchanganya pamoja matunda ya strawberry, maziwa, vanilla pamoja na asali. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza milkshake hii ya strawberry.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maziwa, matunda ya strawberry, asali, pamoja na vanilla extract, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vyema na kuwa laini.

  Step2

  Mimina milkshake kwenye jagi au chupa safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *