Jarida la Mapishi

Smoothie ya raspberry

Smoothie ya raspberry | Jarida la Mapishi
  • Maandalizi
    Dakika 5
  • Kupika
    -
  • Walaji
    2

Smoothie ya raspberry, ni kinywaji kitamu na rahisi kutengeneza, ambacho hutengenezwa kwa kutumia matunda ya raspberry, ndizi, pamoja na mtindi wa vanilla. Smoothie hii yafaa kunywa pamoja na kifungua kinywa wakati wa asubuhi, au pamoja na kitafunio chochote wakati wowote. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya raspberry.

Ingredients

    Directions

    Step1

    Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, matunda ya raspberry, juisi ya chungwa, mtindi wa vanilla, pamoja na ndizi, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

    Step2

    Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

    Unaweza Pia Kusoma Hizi

    Leave a Review

    Your email address will not be published. Required fields are marked *


    The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.