-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji2
Smoothie ya parachichi na nazi, ni smoothie rahisi kutengeneza, iliyo sheheni virutubisho vya mono unsaturated fatty acids, ambavyo husaidia kuimarisha seli za mwili. Mchanganyiko wa parachichi na nazi, hufanya kinywaji hiki sio tu kiwe kitamu, bali pia kiwe chenye afya. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya parachichi na nazi.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maziwa, mtindi wa vanilla, coconut cream, pamoja na parachichi, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Recipe Reviews