Jarida la Mapishi

Smoothie ya chungwa

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Smoothie ya chungwa, ni smoothie rahisi kutengeneza, ambayo imesheheni virutubisho vingi kama vile, Vitamini B, Vitamini C, Potasiamu na Kalsiamu. Smoothie hii hutengenezwa kwa kutumia matunda halisi ya machungwa na ndizi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya chungwa na ndizi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi wa vanilla, maziwa, sukari, machungwa, pamoja na ndizi, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *