-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji2
Milkshake ya parachichi ni, milkshake tamu na yenye afya ambayo inatengenezwa kwa kutumia tunda la parachichi lililoiva, maziwa pamoja na sukari. Tunda la parachichi ni tunda lililosheheni virutubisho vingi, kama vile, Vitamini K, B5, B6, C, Potasiamu na Magnesiamu. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza milkshake hii ya parachichi.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, parachichi, maziwa, vanilla ice cream, sukari pamoja na limao, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vyema na kuwa laini.
Step2
Mimina milkshake kwenye jagi au chupa safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.
Leave a Review