Jarida la Mapishi

Smoothie ya ndizi na karanga

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  4

Smoothie ya ndizi na karanga, ni moja wapo ya smoothie rahisi sana kutengeneza. Urahisi huu unatokana na mahitaji machache yanayo hitajika katika kutengeneza smoothie hii. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ys kutengeneza smoothie hii ya ndizi na karanga.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maziwa, siagi ya karanga, ndizi, pamoja na asali, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *