Jarida la Mapishi

Smoothie ya chungwa, embe na ndizi

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  4

Smoothie ya chungwa, embe na ndizi, ni smoothie nzuri inayowafaa hasa wale ambao huwa hawapendi kupata kifungua kinywa wakati wa asubuhi. Uzito na virutubisho vilivyomo katika smoothie hii, vitakufanya ukae muda mrefu pasipo kula. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya chungwa, embe na ndizi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi wa vanilla, juisi ya chungwa, ndizi, pamoja na embe, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *