-
MaandaliziDakika 10
-
Kupika-
-
Walaji2
Smoothie ya zabibu, ni kinywaji kitamu na rahisi kutengeneza, ambacho hutengenezwa kwa kutumia matunda halisi ya zabibu, maziwa, pamoja na mtindi. Smoothie hii yafaa kunywa kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi, au pamoja na kitafunio chohote wakati wowote ule upendao. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya zabibu.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi wa pichi, maziwa, zabibu, sukari, pamoja na vanilla extract, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review