Jarida la Mapishi

Lemonade ya pichi

 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Lemonade ya pichi, ni kinywaji kizuri, rahisi kutengeneza na cha kuburudisha. Kunywa lemonade hii hasa katika msimu wa matunda ya pichi, ili upate faida za kiafya zitokanazo na tunda hili. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeza lemonade hii ya pichi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, pichi, malimao, apple, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.

  Step3

  Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *